1-3
Chombezo: STAILI 8 BAO MOJA
EP 01
🍆🔞
Ndugu zangu, wapendwa wangu, sina ya kuwaogopesha juu ya wanawake. Ninaweza nikawa ni mmoja tu mpumbavu, naam mpumbavu ndio.
Naitwa Rozi, nina mwaka wa nne sasa katika ndoa yangu. Sijui nikikwambia kuwa nilimpenda mume wangu kupita maelezo...