Kasomi
JT Founder
Bao Bora la Scott McTominay limewekwa katika noti ya £20:
Bao alilofunga Scott McTominay ambalo limewafanya wafuzu kucheza mashindano ya FIFA World Cup Kwa mara ya kwanza tangu 1998 limewekwa rasmi katika noti rasmi itakayotumika nchini Scotland
.
Benki kuu ya Scotland imethibitisha rasmi kuwa picha ya acrobatic ya Scott McTominay imewekwa katika noti ambazo zitatumika Kwa raia wote nchini humo.
Hii ni zaidi ya heshima Kwa Scott McTominay