bbc swahili

  1. Kasomi

    Kama una dalili hizi huenda una ugonjwa wa figo

    Fahamu dalili za magonjwa manane ya figo Kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa Shirika la India la Nephrology, watu milioni 84 duniani kote wanaugua magonjwa mbalimbali ya figo, yaani, mtu mmoja kati ya kila watu kumi duniani ana aina fulani ya ugonjwa wa figo. Ikumbukwe kwamba kati ya...
  2. Kasomi

    Mwanaume aamka na kukuta meli kubwa kwenye bustani yake

    Mwanaume amka na kukuta meli kubwa kwenye bustani yake Je, Meli hii ilifikaje kwenye nyumba yake? Mwanaume mmoja huko Norway aliamka na kukuta meli kubwa ya kubebea mizigo ikiwa imetia nanga kwenye bustani yake. Meli hiyo yenye urefu wa mita 135 (443ft) nusra igonge nyumba ya Johan Helberg...
  3. Kasomi

    Eid al Fitr 2025: Mambo 6 waislamu wanatakiwa kufanya kabla na baada ya sala ya Eid

    Kutoa Zakat al-fitri Zakat-ul-Fitr au Sadaqat-ul-Fitr ni kiwango fulani cha chakula kinachotolewa na waislamu katika siku chache za mwisho wa Ramadhan au siku ya 'Idd asubuhi, kabla ya kuswaliwa Swala ya 'Idd. Kutoa Zakat al-fitr ni lazima kama ilivyoelezwa na Mtume Muhammad (S.A.W). Ni vyema...
  4. Kasomi

    Kwanini Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky havai suti?

    Kwanini Rais wa Ukraine havai suti? Ijumaa ya tarehe 28 Februari haikuwa siku rahisi kwa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alipotembelea ikulu ya White House Marekani. Kabla hata ya mzozo ulioibuka kati yake na wenyeji wake Rais Donald Trump na Makamu wa Rais JD Vance mbele ya waandishi wa...
Back
Top