bila

  1. Kasomi

    Kona ya Mwalimu: Kwanini Unaweka Hali ya Ndoa kwenye CV Bila Kuombwa? Mwaajiri Anatafuta Mfanyakazi, si Mchumba

    KWANINI UNAWEKA HALI YA NDOA KWENYE CV BILA KUOMBWA? MWAAJIRI ANATAFUTA MFANYAKAZI, SI MCHUMBA. Huu ukweli watu wengi bado hawajaupokea. CV si fomu ya maisha yako yote. CV ni waraka wa kazi. Inapaswa kumwonesha mwajiri jambo moja tu, una uwezo gani na unafaa kwa nafasi hiyo kwa sababu gani...
  2. J

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu Ndoa ni nini Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke. Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko 1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
  3. Kasomi

    Alex aandika Historia kwa kupanda Jengo la Taipei 101 bila kifaa Chochote

    Historia mpya imeandikwa katika ulimwengu wa michezo hatarishi baada ya mpandaji maarufu wa miamba kutoka Marekani, Alex Honnold (40), kufanikisha kupanda jengo refu la Taipei 101 bila kutumia kamba wala vifaa vya usalama, hatua inayojulikana kama free solo. Honnold alikamilisha zoezi hilo kwa...
  4. Kasomi

    Walio feli Kidato cha Pili wataendelea Kidato cha Tatu bila kurudia

    SABABU KWANINI WANAFUNZI WALIOFAULU NA WALIOFELI WANAENDA KIDATO CHA TATU Kutoka Wizara ya Elimu Tanzania ✍️ "Ninaelekeza kwamba wanafunzi ambao hawakufikia alama za ufaulu za Kidato cha Pili mwaka 2025 waendelee na Kidato cha Tatu mwaka 2026 badala ya kukariri (kurudia) Kidato cha Pili...
  5. Kasomi

    Usipotumia namba yako ya simu kwa siku 90 mfululizo bila kutoa taarifa kwa mtoa huduma wako, ana haki ya kuifunga na kuiuza kwa mtumiaji mwingine

    Je, wajua Usipotumia namba yako ya simu kwa siku 90 mfululizo bila kutoa taarifa kwa mtoa huduma wako, ana haki ya kuifunga na kuiuza kwa mtumiaji mwingine. Ikiwa hautatumia laini yako ya simu kwa kipindi cha siku 90 mfukulizo, toa taarifa kwa mtoa huduma wako ili kuepuka kufungiwa au namba...
  6. Kasomi

    Wanaofanya Biashara Mtandaoni Bila Kujisajili TRA Wapewa Mwezi Mmoja Kujisajili

    WANAOFANYA BIASHARA MTANDAONI BILA KUJISAJILI TRA WAPEWA MWEZI MMOJA KUJISAJILI Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mitandaoni ambao hawajajisajili na TRA kujisajili mara moja ndani ya kipindi cha mwezi mmoja. Ameyasema...
Back
Top