Kwa nini nchi mbili za Afrika zinaitwa Congo?
Watu wengi barani Afrika na ulimwenguni kote mara nyingi huchanganya nchi mbili za Kiafrika - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Jamhuri ya Congo. Hapa kuna mwongozo rahisi.
Watu wengi duniani wanashangaa kwa nini kuna Congo mbili - zote barani...