Advertise here

browser

  1. Kasomi

    Firefox itaweka VPN ya Bure ili kuzuia IP address

    Firefox imefuata hatua za browser ya Safari ya Apple - kwa kuanza kuweka mfumo wa kuzuia na kuficha IP (anuani) ya mtumiaji akiwa anaperuzi mtandaoni. Mfumo huo wa Firefox utaitwa Firefox VPN na browser ya Firefox itakuwa inasafirisha taarifa ambazo mtu anaperuzi katika seva za VPN na kuweka...
  2. Kasomi

    Brave Browser kusitisha Huduma zake Tanzania, yakataa masharti ya TRA

    Brave Browser yakataa masharti ya TRA, hivyo hawatoi huduma Tanzania. Brave imetuma ujumbe ukisomeka hivi Soma kwa Kiswahili hapa -------- Marafiki: mwanzoni mwa mwaka huu, TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania) ilituomba kujiandikisha kama "mtoa huduma wa kielektroniki asiye mkazi". Kwa kuzingatia...
  3. Kasomi

    Google yamuomba Trump kubatili agizo la kuuza Chrome

    GOOGLE YAMUOMBA TRUMP KUBATILI AGIZO LA KUUZA CHROME Google inafanya juhudi za mwisho kuzuia hatua ya kulazimishwa kuuza kivinjari chake maarufu, Google Chrome. Kampuni hiyo imeiomba serikali ya Trump kubatilisha agizo hilo lililotolewa chini ya utawala wa Biden, ikidai kuwa linaweza...
Back
Top