chadema

  1. Kasomi

    Mbeya: Wafuasi CHADEMA wakamatwa kwa kufanya Mikusanyiko isiyo halali

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata wafuasi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe akiwemo Mwenyekiti wa jimbo hilo, Gideon Mwakila kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali ili kufanya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mashujaa kimkoa. Taarifa...
  2. Kasomi

    Ratiba ya kuchukua fomu kwa wagombea Urais, CHADEMA na ACT wapigwa benchi

    HABARI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma. 📌 Ratiba...
  3. Kasomi

    John Mrema: Madai ya kuwa nimekimbia na YouTube na X za CHADEMA si kweli, sikuwa hata na Password

    John Mrema: Madai ya kuwa nimekimbia na YouTube na X za CHADEMA si kweli, sikuwa hata na Password ya hiyo Mitandao Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kueleza kuwa Akaunti za chama za X (Twitter) na YouTube zimechukuliwa na John Mrema na kudai alikuwa akipata faida binafsi kupitia...
  4. Kasomi

    Je, Chadema inajijenga au inajimega?

    Je, Chadema inajijenga au inajimega? Tuanzie usiku wa kuamkia Jumatano, Januari 22, 2025, pale Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kilipopata Mwenyekiti mpya, Tundu Antiphas Mughwai Lissu baada ya kumshinda Freeman Aikaeli Mbowe, aliyekuwa ameshika wadhifa huo kwa miongo mwili na...
  5. Kasomi

    Kesi ya uhaini dhidi ya Tundu Lissu kusikilizwa Mei 6

    Kesi ya uhaini dhidi ya Tundu Lissu kusikilizwa Mei 6 Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chadema Tundu lisu inatarajiwa kusikilizwa Mei 6 ambapo Lisu anawakilishwa na mawakili 31. Siku hiyo inatarajiwa kuamuliwa ikiwa kesi hiyo itasikilizwa mahakani au kupitia mtandao. Haya yanajiri...
  6. Kasomi

    CHADEMA Yakosa sifa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo zinasainiwa...
  7. Kasomi

    Faida Potea; G-55 na No Reform No Election zinavyoiweka CHADEMA njia panda ya kisiasa

    Anaandika ✍️ Faida Potea G-55 na No Reform No Election zinavyoiweka CHADEMA njia panda ya kisiasa Katika kipindi ambacho Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu, chama kikuu cha upinzani nchini , CHADEMA, kimejikuta kwenye mzozo mkubwa wa ndani unaoweza kubadilisha sura...
Back
Top