Advertise here

chatgpt

  1. Kasomi

    ChatGPT haitapatikana kwenye WhatsApp kuanzia Januari 15, 2026

    kutokana na mabadiliko ya sera na masharti kutoka kwa WhatsApp, ChatGPT haitapatikana tena kwenye WhatsApp baada ya Januari 15, 2026. Ingawa chatGPT ilipendelea zaidi kuendelea kukuhudumia kwenye WhatsApp, lengo ni kurahisisha mabadiliko kwa watumiaji wote iwezekanavyo. Unaweza kuendeleza...
  2. Kasomi

    Struggling to come up with viral content ideas? ChatGPT can do it in seconds

    Struggling to come up with viral content ideas? ChatGPT can do it in seconds, here's how 👇 1. Tell ChatGPT Who You're Creating For Start by giving context. The more ChatGPT knows about your audience, the better the ideas it gives. Example prompt: “You're a content strategist. Give me viral...
  3. Kasomi

    Meta Yazindua App Mpya ili kushindana na chatGPT

    META YAZINDUA APP MPYA KUSHINDANA NA CHATGPT Meta Platforms imezindua app mpya ya akili mnemba (AI) inayojitegemea, ikilenga kuchochea ushindani mkubwa dhidi ya ChatGPT ya OpenAI. App hii ya kisasa imeundwa kwa kutumia teknolojia ya Llama AI model, ikileta urahisi na ubunifu wa hali ya juu kwa...
  4. Kasomi

    Thanks to Deepseek, ChatGPT has improved even faster

    "Thanks to Deepseek, ChatGPT has improved even faster. Free users now have almost unlimited image uploads and can chat 8 times more with GPT-4o, just like the previous Plus plan. However, Plus users still get access to even more advanced models. Still, free users have been given so many...
  5. Kasomi

    Sam Altman Akataa ofa ya Elon Musk asema labda wainunue X (twitter)

    Vita vipya vya maneno vilizuka kati ya marafiki Sam Altman na Elon Musk waliogeuka kuwa maadui wa biashara. Elon Musk na Sam Altman walijibizana baada ya wadhamini kujitolea kununua OpenAI kwa $97.4 bilioni. Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI alikataa pendekezo la Musk na akajitolea kununua ‘Twitter’...
  6. Kasomi

    Muungano unaoongozwa na Musk watoa ofa ya $ 97.4bn kwa mtengenezaji wa Chatgpt

    Muungano wa wawekezaji unaoongozwa na Elon Musk ulitoa ofa ya $97.4bn kununua OpenAI, watengenezaji wa ChatGPT. Wakili wa bilionea huyo, Marc Toberoff, alithibitisha kuwa aliwasilisha ofa ya "mali zote" za kampuni ya Musk kwa bodi yake Jumatatu. Ofa hiyo ni mabadiliko ya hivi punde katika vita...
  7. Kasomi

    ChatGPT imeweka sehemu mpya ya ChatGPT Search

    ChatGPT imeweka sehemu mpya ya ChatGPT Search ambayo itakuwa inafanana na Google kwa kusaidia kutafuta vitu mtandaoni lakini kwa kutumia akili bandia. Mwanzo wa mwaka huu tuliwahi kutoa tetesi kuwa OpenAI na mpango wa kuweka mfumo ambao utashindana na Google. Mwezi Oktoba ikaanzisha rasmi...
  8. Kasomi

    ChatGPT sasa inapatikana kwenye WhatsApp

    ChatGPT sasa inapatikana kwenye WhatsApp kwa namba ya kimataifa ya (1-800-242-8478). Huduma hii inatumia akili bandia ya ChatGPT na watumiaji wanaweza kuzungumza nayo kama vile unavyozungumza na marafiki kwenye WhatsApp. Huhitaji akaunti yoyote kutumia huduma hii, na inapatikana kwa watumiaji...
  9. Kasomi

    Fahamu kuhusu ChatGPT Artificial Intelligence Tool inayoweza kufanya maswali na kuchat

    Fahamu kuhusu ChatGPT Artificial Intelligence Tool inayoweza kufanya maswali na kuchat ChatGPT ni Artificial Intelligence tool iliyo anzishwa mwishoni mwa mwaka 2022 na kampuni la OpenAI. Umeshajiuliza hii Tool inafanyeje kazi? Ngoja kasomi nipuke hii kidogo Watu tushazoea ku Google kama tuna...
Back
Top