📌ZIMEBAKI SIKU 4 TUU....
Usajili wa Shindano la Girls in ICT Mwaka 2025, kwa Wanafunzi Wasichana wa Vyuo Vikuu nchini umebakiza siku 4 tuu⏰; tembelea https://digitalclubs.tz/get-stated kufungua akaunti kwenye jukwaa la Klabu za kidijiti ili kufanya usajili wa shindano hili kabla ya tarehe 7...