Usajili wa Shindano la Girls in ICT Mwaka 2025, kwa Wanafunzi Wasichana wa Vyuo Vikuu nchini umebakiza siku 4 tuu; tembelea https://digitalclubs.tz/get-stated kufungua akaunti kwenye jukwaa la Klabu za kidijiti ili kufanya usajili wa shindano hili kabla ya tarehe 7 Machi, 2025.
Share na wenzako ili wasipitwe na fursa hii