domain

  1. Kasomi

    Sanmay Ved mfanyakazi wa zamani wa Google ambaye alinunua domain ya google.com kwa $12 (25,000tsh)

    Mwaka 2015, tukio lisilo la kawaida lilitokea kwenye dunia ya teknolojia. Sanmay Ved, mfanyakazi wa zamani wa Google, aligundua kuwa jina la tovuti Google.com—moja ya mali muhimu zaidi za kidigitali duniani—lilikuwa inauzwa kwenye Google Domains. Cha kushangaza, bei yake ilikuwa dola 12...
  2. Kasomi

    Utofauti wa Domain na Hosting

    Je, Unajua Tofauti Kati ya Domain na Hosting? Watu wengi wamekuwa wakichanganya kati ya domain na hosting, lakini hizi ni vitu viwili tofauti vinavyofanya kazi kwa pamoja ili kuwezesha tovuti kuonekana mtandaoni. 1. Domain ni nini? Domain ni jina la tovuti yako – mfano: jamiitalk.com au...
  3. Kasomi

    Tengeneza Tovuti Yako; Jinsi ya kutengeneza tovuti

    Tengeneza Tovuti Yako. Jinsi ya kutengeneza tovuti Kutengeneza tovuti ni hatua kwa hatua, na inaweza kuonekana kuwa ngumu mwanzoni lakini ikifuatwa kwa makini, inaweza kuwa rahisi. Hapa kuna maelezo ya jinsi ya kutengeneza tovuti kwa kutumia hatua kwa hatua. Chagua jina la kikoa na mwenyeji...
Back
Top