Miaka ya 1990, intaneti ilikuwa bado changa, tovuti zilikuwa chache, na biashara mtandaoni ndiyo ilikuwa inaanza. Katika kipindi hicho, kijana mhandisi aitwaye Ethan Zuckerman alifanya kazi Tripod.com, moja ya majukwaa ya mwanzo yaliyowawezesha watu kutengeneza kurasa zao binafsi mtandaoni...