Advertise here

fahamu leo

  1. Kasomi

    Fahamu Leo Nchi 15 Tajiri Zaidi Afrika 2025

    NCHI 15 TAJIRI ZAIDI AFRIKA 2025 Kulingana na makadirio ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) ya Aprili 2025, hizi ndizo nchi 15 zenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika (kwa Pato la Taifa - GDP): 1. Afrika Kusini 🇿🇦 - $410.34 bilioni 2. Misri 🇪🇬 - $347.34 bilioni 3. Algeria 🇩🇿 - $268.89...
  2. Kasomi

    Mikoa 10 Tajiri zaidi Tanzania

    📊 MIKOA 10 TAJIRI ZAIDI TANZANIA Hii ni mikoa 10 tajiri zaidi Tanzania kwa GDP (Pato la mkoa) kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) za 2023. 1. Dar es Salaam – $14.7 b 2. Mwanza – $6.19 b 3. Morogoro – ~$4.12 b 4. Arusha – ~$4.05 b 5. Tanga – ~$4.04 b 6. Mbeya – ~$4.03...
  3. Kasomi

    Je, Wajua? Fahamu mambo haya mbalimbali

    Jewajua.. →✏Nyanya ndo tunda Maarufu zaidi Duniani. Ndizi sio tunda ni mtishamba{Herbs}. →✏Kila Bara linaishia na Herufi iliyoanza nayo mwanzo, mfano: Africa,Europe,Asia.. [*Kwa Kingereza lakini] →✏Maji huwa hayaexpire, expire date ni ya Chupa. →✏Asali ndo Chakula Pekee Kisichoharibika...
  4. Kasomi

    Uzi Maalumu wa Je, Wajua?

    Huu ni Uzi Maalumu wa kuweka na kujuzana Mambo tusiyo yakua na kufahamishana. ==== Je, wajua Mkoa wa Dar es salaam una idadi kubwa ya Watu kuzidi Nchi ya Croatia? Mkoa wa Dar es Salaam una watu wengi zaidi, 5,282,728 sawa na asilimia 8.7 ya watu wote nchini Tanzania wakati Croatia ina idadi ya...
Back
Top