Mikoa 10 Tajiri zaidi Tanzania

Kasomi

JT Founder
📊 MIKOA 10 TAJIRI ZAIDI TANZANIA
1751571929628.jpg

Hii ni mikoa 10 tajiri zaidi Tanzania kwa GDP (Pato la mkoa) kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) za 2023.

1. Dar es Salaam – $14.7 b

2. Mwanza – $6.19 b

3. Morogoro – ~$4.12 b

4. Arusha – ~$4.05 b

5. Tanga – ~$4.04 b

6. Mbeya – ~$4.03 b

7. Kilimanjaro – ~$3.87 b

8. Dodoma – ~$2.75 b

9. Mtwara – ~$2.41 b

10. Pwani – ~$1.72 b

Fahamu leo
 
Back
Top