Advertise here

frequency

  1. Kasomi

    Fahamu Gharama na taratibu za kuanzisha Radio za Masafa (FM) Nchini Tanzania

    Chapisho hili ni la Mwaka 2020 hivyo kuna baadhi ya gharama zinaweza kuwa tofauti na sasa. Kwanza kabisa kuna makundi matatu ya radio:- 1. Commercial Radio. (Za kibiashara) 2. Public Radio (Radio za watu wenye lengo/dhumuni maalum, kama vile makanisa, mashirika, asasi n.k) 3. Community Radio...
Back
Top