Kasomi
JT Founder
Chapisho hili ni la Mwaka 2020 hivyo kuna baadhi ya gharama zinaweza kuwa tofauti na sasa.
Kwanza kabisa kuna makundi matatu ya radio:-
1. Commercial Radio. (Za kibiashara)
2. Public Radio (Radio za watu wenye lengo/dhumuni maalum, kama vile makanisa, mashirika, asasi n.k)
3. Community Radio (Radio za jamii, zinazowekwa kwa manufaa ya jamii, mara nyingi hazitengenezi faida japo imo ndani kwa ndani)
Unaweza kuamua wewe binafsi juu ya radio gani ungependa kuanzisha, inategemeana na wito wako. Gharama juu ya kila kundi la radio zinaweza kutofautiana kulingana na ubora, mfano radio ya jamii inaweza kuwa ya kawaida sana vifaa vya kawaida, lakini ya biashara inahitaji uwe na vifaa vizuri ili uweze kuingia kwenye ushindani. Nisiende mbali sana na lengo wacha nijielekeze kwenye pointi husika:-
Haya ni mambo muhimu kwanza ya kuzingatia unapotaka kufungua au kuanzisha kituo cha radio:-
1. Fanya uchunguzi wa masoko (Ni wapi radio yako uweke, mfano mkoani, wilayani, je kuna ushindani gani kwenye maeneo hayo, je maeneo unayoweka radio yanaweza kuvuta wadhamini wakubwa kama makampuni ya simu na wakaja kudhamini?)
2. Ukishapata eneo. Andika Pusiness Plan+Feasibility Study kwa ajili ya mradi wako. Katika Feasibility Study unatakiwa kuwasiliana na TCRA ili upewe fomu za kuombea leseni ambazo ndizo zinavipengele vizuri vya Feasibility Study utakavyovijana na baada ya hapo unaweza kusubmit hiyo moja kwa moja kama application. Moja na vipengele muhimu katika Feasibility Study ni:-
A: Specific ya vifaa vya radio yako vyote.
B: Memorundum/katiba ya kampuni yako na leseni yake ya usajili.
C: Structure ya uongozi ya radio unayotaka kuianzisha.
D: Financial Statement ya miaka 5 (hii ni muhimu zaidi)
E: Line up ya vipindi vya radio unayotaka kuanzisha.
E: Policy zote za radio.
N.k
3. Kuomba leseni TCRA.
4. Ununuaji wa Vifaa. (Kuna vifa vingine ni mpaka uwasiliane na TCRA ili upewe specification mf. kama STL)
5. Utengenezaji wa Studio.
6. Installations ya vifaa vya studio na transmission site.
7. Mafunzo
8. subiri TCRA wakupe leseni kisha uanze kurusha matangazo ya majaribio ya mieizi 3-6.
1. Gharama halisi za Radio inayoweza kusikika kuanzia KM 100-150.
1. Transmitter ya Watts 1500 Tshs 12,051,960/=
2. Antena Zake 2dipole Tshs 5,869,200/=
3. STL (Studio to Transmitter Link) Tshs 9,648,000/=
4. Vifaa vyote vya studio 2. (full set) Tshs 25,808,400/=
5. Freight Fee Tshs 3,296,400/=
6. Usajili TCRA Tshs 5,000,000/= na gharama zote zingine zitakazohitajika.
7. Kutengeneza studio Tshs 4,000,000/= (milango, accoustic materialsn.k)
8. Kuendesha mafunzo Tshs 4,000,000/= (kila kitu)
9. Kuandika Feasibility Study Tshs 3,000,000/=
10. Installations ya vifaa vyote na consultancy fee Tshs 7,000,000/=
Jumla Kuu ya vifaa bila local custom charge+mafunzo+TCRA Tshs 79, 673, 960/=
Gharama za uendeshaji kwa mwezi:-
1. Mshahara wa Meneja Tshs 700,000/= kwa kuanzia unamlipia nyumba.
2. Mshahara wafanyakazi 5@250,000/= Tshs 1,250,000/=
3. umeme Tshs 150,000/=
4. Maji 20,000/=
5. Mawasiliano na Internet 100,000/=
6. Usafiri/Mafuta Tshs 200,000/=
7. Stationaries Tshs 100,000/=
8. Pango la nyumba Tshs 250,000/=
9. Ziada Tshs 300,000/=
Jumla Tshs 3,270,000/= makadirio ya wastani.
hivyo jumla kuu ukitaka kuanzisha na kuendesha radio station kwa mwezi 1, inayoenda umbali wa Km 100-150
ni Tshs 82, 943, 960/= bila VAT+customs charge wakati wa kuingiza vifaa nchini.
Faida(Kipato) ya biashara ya Radio.
Utafaidikaje sasa na investiment hii kubwa:
1. Matangazo madogomadogo na muda wa hewani kwa wanaohitaji unaweza kukuingizia mpaka Tshs 10,000,000/= kwa mwezi hasa kama upo mkoani, hapa tayari utakuwa umepata gharama za kuendeshea radio.
2. ukipata wadhamni wakubwa kama makampuni ya simu, mfano ukapata makampuni matatu, kila kampuni kwa mwezi ikakulipa Tshs 3,000,000X3=9,000,000/=
3. Kuna mashirika huwa yanaendesha vipindi na matangazo kwa mwezi minimum Tshs 5,000,000/=
So kama radio yako imepata wadhamini wa hatua zote tatu hizo unaweza kupata mpaka Tshs 24,000,000/= kwa mwezi haya ni makadirio tu, uhalisia unaweza kupunguza au kuongeza mapato haya.
Na mwisho unaweza kuwa unaomba grant kupitia radio yako.
2. Gharama za Kuanzisha Radio ya Jamii.
tujaribu kuangalia na gharama za kuanzisha radio ndogo ya jamii ambayo inasikika umbali wa Kilomita kati ya 30 mpaka 100 inategemeana uko eneo gani kama hakuna vizuizi vya milima. Bei zote hapa ni CIF mpaka unakabidhiwa project iliyokamili.
Hakikisha una nyumba tayari ambayo utaitumia kama studio.
Kuna fursa za minara isiyo na gharama kubwa, unaweza kushirikishwa ukiwa mdau. Nimeweka gharama kidogo na inatosha.
Kama upo mjini basi utalazimika kununua STL link, ili kuiweka Transmitter mbali na maeneo ya makazi ya watu jumlisha gharama C.
Naanza bajeti.
GHARAMA A: STUDIO YA MATANGAZO.
Mixer ================== Tshs 500,000/=
Monitors=============== Tshs 1,000,000/=
Microphones 2========== Tshs 900,000/=
Computer Desktop (i3 core) Tshs 900,000/=
Headphones 2=========== Tshs 130,000/=
Cables================= Tshs 100,000/=
Genereta=============== Tshs 1,000,000/=
Acoustics materials====== Tshs 1,000,000/=
AC 1================== Tshs 700,000/=
UPS ya Back up========= Tshs 300,000/=
Computer ya production=== Tshs 700,000/=
Mashine za kurekodia===== Tshs 500,000/=
Meza na viti============ Tshs 1,000,000/=
Laptop 1============== Tshs 1,000,000/=
JUMLA YA VIFAA STUDIO TSHS 9,730,000/=
GHARAMA B: TRANSMISSION
TCRA application and license Tshs 3,000,000/=
Transmitter Watts 300 Tshs 6,300,000/=
Antena 1dipole ya 114FM Tshs 6,000,000/=
Mnara wa antenna Tshs 2,000,000/=
JUMLA YA TRANSMISSION Tshs 17,000,000/=
GHARAMA C: UTAONGEZA ENDAPO HAUNA NYUMBA NA STUDIO ZIKO KATIKATI YA MJI.
STL link =============== Tshs 12,000,000/=
Weka gharama ya nyumba mwenyewe kulingana na mazingira ya eneo husika.
GHARAMA D: INSTALLATIONS AND CONSULTANCY FEE
Mpaka tunakukabidhi studio n mitambo yote imefungwa kwenye hali nzuri na ya kuridhisha ni Tshs 5,000,000/=
RADIO YA JAMII INAYOWEZA KUSIKIKA KATI YA UMBALI WA KILOMITA 30-100 NI itakugharimu
TSHS 43, 730,000/=.
3. BEI YA VIFAA YA KURUSHIA MTANGAZO (FOB)
1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output power
Bei yake ni Tshs: 9,639,960/=
Ikifungwa vizuri eneo zuri lisilozungukwa na miinuko inaweza kurusha matangazo kati ya Kilomita 100 mpaka 200.
2. Transmitter: Sielco 2000Watts inauzwa Tshs 18,331,200/= inauwezo wa kurusha matngazo kati ya kilomita 200 mpaka 400 kutegemeana na eneo lilivyo.
3. 2KW 4x114FM antenna with power divider and interconnecting c ables 50m low loss cable. Hii ni antena ya radio yenye antena 4 ya 4 dipole, inauzwa Tshs 9,648,000/=
4. STL (Studio Transmitter Link) STL 398 – 399.9 MHz with 2x9dB yagi antenna and 2x 50m low loss cables antenna clamps and cable clamps (mitambo ya kurusha matangazo kutoka studio mpaka ulipo mnara wako.)
Inauzwa Tshs 9,648,000/=
Bidhaa zote hufika ndani ya wiki 2, ni kutoka Australia na UK.
Limetolewa na
Radio Producer
CEO
Radio Consult Limited.
Kwa mawasililiano unaweza kutuandikia email: consultancy@radiotz.com
Copied from: Business Ideas TZ