fursa

  1. Kasomi

    Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye, Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu. Akizungumza na...
  2. M

    JamiiTalk wekeni fursa mtandao ukue huu

    JamiiTalk ina muda mrefu sana, kwanin bado haiko active kivile? Wekeni fursa kwa watu waje wawekeze, muwekezaji sio mpaka awekeze pesa. Inawezekan mtu akasema atachangie kuibrand kwenye social network/media kwa makubaliano yenu. Kuna watu wanaweza kazi hizi.
Back
Top