ARUSHA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Tume ya Utumishi wa Umma Nchini umebainika zaidi ya asilimia 40 ya Watumishi wa Umma hawafanyi kazi licha ya kulipwa mshahara kila...