WATANZANIA WATOA MILIONI 100 KWA KILA GOLI LA STARS AFCON
Kuelekea mechi kati ya Timu ya ya Taifa ya wanaume (Taifa Stars), Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema amepigiwa simu na Watanzania mbalimbali ambao wameahidi kutoa Sh100 kwa kila goli watakalofunga...