Zifuatazo ni hatua za namna ya kupata mwenza wa maisha
1.Jifahamu/ Jitambue , Chunguza na kuelewa wewe ni nani, unataka uhusiano, nani? Kwa malengo gani?
2. Panua wigo wa kuonana na watu kupitia shughuli mbalimbali ikiwemo za kijamii, kiuchumi huko ndiko sehemu sahihi ya kupata mwenza wa...