Ochola12
New member
Zifuatazo ni hatua za namna ya kupata mwenza wa maisha
1.Jifahamu/ Jitambue , Chunguza na kuelewa wewe ni nani, unataka uhusiano, nani? Kwa malengo gani?
2. Panua wigo wa kuonana na watu kupitia shughuli mbalimbali ikiwemo za kijamii, kiuchumi huko ndiko sehemu sahihi ya kupata mwenza wa maisha
3. Tumia Mitandao ya Kijamii kwa lengo na makusudi ya kupata watu wema wengine wanaweza wakawa suluhisho katika mahusiano yako
4. Kuwasiliana Usikatae kuanzisha mazungumzo. Wakati unakutana na watu wapya, jaribu kuzungumza nao na kuunda uhusiano wa awali.
5. Kuwa Mkweli: Wakati wa kuchumbiana, kuwa wazi na mkweli kuhusu hisia zako, malengo, na matarajio.
6. Fanya Mambo Unayopenda: Kushiriki katika shughuli zinazokufurahisha kunaweza kukusaidia kukutana na watu wenye mawazo sawa.
Tumia muda mwingi kujali na kuthamini marafiki zako wa karibu ikiwemo kuwajulia hali, kuwaeleza unavyojisikia , mwisho tumia formula ifuatayo kwa vitendo
L. O V E
L_ Listen _ maana yake kusikiliza pendelea kusikiliza zaidi kuliko kuongea
O_Overcome Obstracle _ Kuhimili vikwazo, jitahidi kutatua mambo mbalimbali ya rafiki na siyo kuyakimbia
V- Value_ Thamani, Jifunze kuthamini anachofanya rafiki yako
E_Encouraging _ kusaidia, kuwa msaada wa karibu kwa mwenza wako
Kwa Mawasiliano zaidi
0745008929