Je, Unajua Tofauti Kati ya Domain na Hosting?
Watu wengi wamekuwa wakichanganya kati ya domain na hosting, lakini hizi ni vitu viwili tofauti vinavyofanya kazi kwa pamoja ili kuwezesha tovuti kuonekana mtandaoni.
1. Domain ni nini?
Domain ni jina la tovuti yako – mfano: jamiitalk.com au...