INFANTICIDE:
Umeshawahi kusikia stori ya mbwa kumla mtoto wake?
Au paka kumgeuza mtoto wake kuwa kitoweo? 😳
Sasa hiyo Hali inaitwa INFANTICIDE — yaani mzazi kumuua au hata kumla mtoto wake mwenyewe (sio wa jirani jamani 😅).
Kwa wanyama, kuzaliwa haimaanishi uko salama... muda wowote unaweza...