Kasomi
JT Founder
INFANTICIDE:
Umeshawahi kusikia stori ya mbwa kumla mtoto wake?
Au paka kumgeuza mtoto wake kuwa kitoweo?
Sasa hiyo Hali inaitwa INFANTICIDE — yaani mzazi kumuua au hata kumla mtoto wake mwenyewe (sio wa jirani jamani
).
Kwa wanyama, kuzaliwa haimaanishi uko salama... muda wowote unaweza kugeuka menu
Kwa nini INFANTICIDE hutokea?
Sexual Competition
Hii ipo sana kwa simba na sokwe.
Madume huua watoto wa dume mwingine ili wamama warudi haraka kwenye kipindi cha joto (estrus) — hivyo waweze kuzaa nao.(upwiru una cost maisha ya watoto
).
Pia huua watoto madume wanaoweza kuja kuwapindua baadaye
High Population 
Kuna jamii za Nyani hasa wanaopatikana India,Kanazawa sana ndani ya muda mfupi hivyo kufanya Maisha kuwa magumu.
Wazazi wengine hufanya maamuzi ya kuuwa watoto wachanga ili kudhibiti idadi
Food Shortage / Hunger 
Hakuna chakula?
Njaa ikizidi, mzazi anaweza kumla mtoto wake mwenyewe ili aendelee kuishi.
Wanyama kama paka, simba, na panya wanajulikana kufanya hivi.
Illness or Weak Offspring 
Kama mtoto anaumwa au hawezi kuishi, mzazi anaweza kumuua ili kuokoa rasilimali kwa wale wenye nguvu zaidi.
Ni kikatili, lakini ni “nature doing its thing.”
Kwa ufupi:
Infanticide ni mbinu ya kimaumbile ya kuendelea kuishi, sio ukatili tu kama tunavyofikiri sisi binadamu.
Kwa wanyama — ni survival strategy, na wala si drama ya telenovela
Credit: JJ Ephraim