Advertise here

instagram

  1. Kasomi

    The Instagram account with the most published posts is Moapies

    The Instagram account with the most published posts is reportedly moapies, which has shocked the internet by sharing a staggering 28.7 million posts. Despite being a private profile with roughly 79,000 followers, it has become one of the most talked-about phenomena on the platform. The account...
  2. Kasomi

    YouTube yaongoza kufuatiliwa zaidi Marekani Huku Facebook, Instagram na Tiktok zikifuatia pamoja na Mitandao mingine

    Mitandao hiyo iliyofuatiliwa zaidi Marekani ni kama ifuatavyo: YouTube Facebook Instagram TikTok WhatsApp Reddit Snapchat X (Twitter) Threads Bluesky Truth
  3. Kasomi

    Instagram imezindua rasmi app mpya ya ku-edit video iitwayo Edits

    Instagram imezindua rasmi app mpya ya ku-edit video iitwayo Edits, ambayo lengo lake ni kuwasaidia watengeneza maudhui kuunda video za kuvutia kwa njia rahisi zaidi. Edits inakusaidia kwenye nini labda/ au imeleta utofauti gani ukilinganisha na Apps nyingine za ku-edit video:- - Kupangilia...
  4. Kasomi

    US: Meta Forced to Sell Instagram and WhatsApp

    Facebook owner could be forced to sell off Instagram and WhatsApp Social media giant Meta could be forced to sell off Instagram and WhatsApp as a legal battle begins in the US. Owned by billionaire Mark Zuckerberg, the tech business which also owns Facebook bought Instagram in 2012 and WhatsApp...
  5. Kasomi

    Marekani: Meta Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  6. Kasomi

    Instagram wamewezesha uwezekano wa kuona post yako ya kwanza kabisa kuilike

    Hivi karibuni Instagram wamewezesha uwezekano wa kuona post yako ya kwanza kabisa kuilike Fuata hatua zifuatazo hapa chini: 1. Nenda kwenye profile yako ya instagram 2. Bofya mistari mitatu ≡ upande wa juu julia 3. Bofya "Your Activity". 4. Kisha Bofya "Interactions". 5. Halafu Bofya "Likes"...
Back
Top