Dar es Salaam, 21 Machi, 2025
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza nafasi za kazi 1,596 katika fani mbalimbali
kuanzia tarehe 06 hadi 19 Februari, 2025, ambapo maombi ya kazi 135,027 yalipokelewa.
TRA imepitia kwa umakini mkubwa maombi yote yaliyopokelewa na kupata waomba kazi
112,952...