Advertise here

jamii

  1. Kasomi

    JamiiForums yapigwa stop siku 90 na TCRA

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  2. Kasomi

    Kutoka kwa Jamii; Binti Niliye Mtongoza kwa Miaka 4

    Kutoka kwa W A T U "Kuna binti nilimtongoza kwa miaka minne akaja kukubali 2015 mimi nikiwa chuoni yeye akiwa mtaani maana aliishia darasa la saba. Nikaanza kudate nae, nikatambulika mpaka kwao. Nikawa kila nikifunga narudi home hata field nilikuwa nafanyia home ikatokea akawa mjamzito...
  3. Kasomi

    Tunajitahidi kuboresha JamiiTalk kuwa Salama na haraka kutumia

    Wana bodi ili kuifanya JT kuwa salama, rahisi kutumia na kupata mijadala kuna baadhi ya hatua tumezifanya (Tumeongeza na kuboresha). Baadhi ya maboresho hayo ni; 1- kuwezesha hatua ya njia mbili za uthibitisho (Two-step verification) NJia hii inafanya akaunti yako kuwa salama na kuepuka...
Back
Top