Advertise here

jenista

  1. Kasomi

    TANZIA Jenista Joakim Mhagama afariki Dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo December 11, 2025 Jijini Dodoma. "Kwa masikitiko makubwa, naomba kutangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama...
  2. Kasomi

    Historia ya Jenista Joakim Mhagama

    Jenista Joakim Mhagama alizaliwa 23 Juni 1967 na kufariki Leo 11 Desemba 2025. Alikuwa mmoja wa wanasiasa wanawake wenye mchango mkubwa Tanzania kupitia CCM. Alitumikia Jimbo la Peramiho kwa miaka mingi na kushika nyadhifa mbalimbali za uwaziri katika serikali tatu mfululizo. Kwa asili alikuwa...
Back
Top