1. Faida ya kwanza ni kuwa unafanya jina lako liwe rasmi (unarasimisha).
2. Inakupa uhakika kujua kuwa wewe ndiye unayemiliki hilo jina. Na kwamba hautumii jina la mtu mwingine. Kwababubu mtu anaweza kukushtaki kama unatumia jina lake alililosijali.
Maana kuna watu wanatumia majina bila...