Kasomi
JT Founder
1. Faida ya kwanza ni kuwa unafanya jina lako liwe rasmi (unarasimisha).
2. Inakupa uhakika kujua kuwa wewe ndiye unayemiliki hilo jina. Na kwamba hautumii jina la mtu mwingine. Kwababubu mtu anaweza kukushtaki kama unatumia jina lake alililosijali.
Maana kuna watu wanatumia majina bila kusajili baadaye wanagundua kuwa kuna mtu mwingine anatumia na amesajili kabisa.
3. Inakupa mamlaka ya kisheria kumkataza mtu mwingine kutumia jina lako bila idhini yako.
4. Inakuwa ni rahisi kuaminiwa na mteja hasa akiona uko rasmi na sio kama watu wa mitaani tu.
5. Unaweza kusajili Account ya Bank lenye hilo jina ulilosajili. Ili mteja anapokulipa ajue analipia sehemu sahihi na sio kuona analipwa mtu binafsi wakati amehudumiwa kwa jina la biashara.
6. Namba za kupokelea pesa kutoka kwa wateja pia zinaweza kusoma hilo jina ulilolisajili.
__
GHARAMA
Mpaka muda huu BRELA gharama ya usajili ni 20,000 tu. Na unaweza kusajili via online kwenye mtandao wao wa Brela Ors. brela.go.tz
MAHITAJI
1. Jina unalotaka kusajili
2. Namba yako ya Nida (pia kama mko wengi mnaweza kusajili Jina kwa category Partnership)- kila mtu na namba yake ya nida
3. Emails :
4. Phone numbers
5. Location ya office, na location ya mmiliki(wamiliki)