jwtz

  1. Kasomi

    JWTZ Yatoa Tamko Hali ya Ulinzi na Usalama Nchini

    HABARI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa tamko rasmi likieleza kuwa linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya Ulinzi na Usalama nchini katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 na 29 Oktoba 2025, kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya...
  2. Kasomi

    Ifahamu Kamandi ya Anga ya Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ

    Tanzania Air Force Kamandi ya Jeshi la Anga ni moja ya Kamandi muhimu zinazounda Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kiutendaji, kivita na kiutawala. Kamandi ya Jeshi la Anga inayo majukumu ya ziada ya msingi katika kutimiza wajibu wake wa ulinzi wa Anga la Tanzania. Kamandi hiyo inao...
  3. M

    Je, JWTZ imejibu Hoja Ya Captain Tesha?

    JE, JWTZ IMEJIBU HOJA YA CAPT. TESHA? Anaandika Emmanus Bandekile Mwamakula Baada ya Capt Tesha kutoa hotuba kwa njia ya video, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa kauli kwa njia ya waraka. Hata hivyo, waraka huo unafichua ya kuwa baadhi ya hoja hizo hutolewa na: 1. Watu...
  4. M

    Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Yatoa Taarifa kuhusu habari zinazo sambaa

    JWTZ WAJIBU KAULI YA CAPTEN TESHA Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa kumekuwepo na ongezeko la watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuchapisha maudhui yanayochochea kuliingiza jeshi hilo katika mambo ya kisiasa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa...
  5. Kasomi

    JWTZ yatangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa vijana wa Kitanzania

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza kuanza kwa zoezi la uandikishaji wa vijana wa Kitanzania kujiunga na jeshi, likilenga waliohitimu kuanzia kidato cha nne hadi elimu ya juu. Tangazo hilo limetolewa Aprili 30, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ...
Back
Top