Kadinali Robert Prevost ametangazwa kuwa Papa mpya Ambae atafahamika kwa jila la Papa Leo wa 14.
Robert Kardinali Prevost anatokea Chicago nchini Marekani, na hadi kuchaguliwa kwake alikuwa akihudumu kama mkuu wa Dicastery wa kanisa kwa Maaskofu.
Prevost ametumia muda wake mwingi akitumikia...