Advertise here

Kadinali Rugambwa kutoka Tanzania akila kiapo kwa lugha ya Kilatini kabla ya uchaguzi wa Papa

Kasomi

JT Founder
Mtazame na msikilize Kadinali Rugambwa kutoka Tanzania akila kiapo kwa lugha ya Kilatini kabla ya uchaguzi wa Papa. Mkono unawekwa juu ya Injili yaani maandiko matakatifu.

Tazama video
 
Back
Top