Na Peter Mwaihola
Ilizaliwa Tanganyika, ikajengwa jamhuri ikazaa Tanzania.
Tanzania kama Taifa lililoasisiwa na Vijana makini wenye, busara, utukutu wa kimawazo na uchu wa mabadiliko.
Tanzania ya akina Julius Nyerere, Mfalme Kawawa, Bibi Titi Mohamed, Eli Anangisye Mwalulesa na wengine wengii...