Imepita miaka 10 sasa tangu alipofariki staa huyo wa filamu Steven Kanumba mwaka 2012, na alizikwa katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam.
Steven Kanumba alifariki tarehe 7 April 2012.
Zaidi soma historia yake
http://jamiitalk.test/threads/historia-ya-steven-kanumba.86/
Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari 1984, mkoa wa Shinyanga alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Tanzania.
Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Tanzania, Kanumba ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza nchini kufanya kazi nje ya nchi na kuweza kuwavuta wageni kutoka nchi...