Kasomi JT Founder Apr 7, 2022 #1 Imepita miaka 10 sasa tangu alipofariki staa huyo wa filamu Steven Kanumba mwaka 2012, na alizikwa katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam. Steven Kanumba alifariki tarehe 7 April 2012. Zaidi soma historia yake http://jamiitalk.test/threads/historia-ya-steven-kanumba.86/
Imepita miaka 10 sasa tangu alipofariki staa huyo wa filamu Steven Kanumba mwaka 2012, na alizikwa katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam. Steven Kanumba alifariki tarehe 7 April 2012. Zaidi soma historia yake http://jamiitalk.test/threads/historia-ya-steven-kanumba.86/