Advertise here

kardinali

  1. Kasomi

    Mambo machache kuhusu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

    Mambo machache kuhusu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. 1. Jina lake halisi ni nani? Kuna watu wanadhani Mwadhama ni jina lake? Wengine wanadhani Polycarp ni cheo chake. Jina lake ni Polycarp Pengo. Kardinali ni cheo cha Kanisa, na Mwadhama ni kivumishi cha sifa, kama ambavyo Maaskofu huitwa...
  2. Kasomi

    TANZIA Polycarp Kardinali Pengo Amefariki Dunia

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo ljumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
Back
Top