Fatma Karume kutoka Familia ya Viongozi hadi kuwa Mwanaharakati
Huyu ni mwanaharakati kutoka katika familia ya viongozi; babu yake Shekhe Abeid Karume alikuwa muasisi na Rais wa kwanza wa Zanzibar, baba yake Aman Abeid Karume alikuwa rais wa awamu ya saba wa visiwa hivyo huku baba yake mdogo...
Fatma Karume ni mtoto wa raisi mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume na mjukuu wa raisi wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume. Amezaliwa 15 Juni 1969 ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea wa Tanzania, mwanaharakati ambaye aliwahi kuwa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) katika...
Simba yatembelea kaburi la Hayati Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar
Simba SC Yafanya Dua Kaburini kwa Heshima ya Fainali ya Kombe la Shirikisho
Katika maandalizi ya mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane, Klabu ya Simba SC imetembelea...
Karume day ni siku ambayo huazimishwa kila ifikapo tarehe 07/04 kila mwaka kwa Tanzania nzima (Bara na visiwani).
Je, karume ni nani?
Sheikh Abeid Amani Karume alikuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar. Alizaliwa mwaka 1905 na kufariki tarehe 7 Aprili 1972 kwa kupigwa risasi.
Karume aliongoza nchi...