Maduka yavunjwa Mkoani Geita katika mtaa wa Mbugani Kata ya Kalangalala Bidhaa zaibiwa
Maduka manne ya wafanyabiashara katika mtaa wa Mbugani Kata ya Kalangalala katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita yamevunjwa na bidhaa zilizokuwemo ndani kuibwa.
Wakizungumza na EastAfricaTV wafanyabiashara...