NAPA ni nini?
➡️Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walibuni mfumo unaoitwa NaPA.
Kirefu cha NAPA ni National Physical Addressing System
➡️Kwa Kiswahili huitwa: Mfumo wa Kidigitali...
NAFASI ZA KAZI HALOTEL
Tunakukaribisha katika Familia ya Halotel,
Halotel inakaribisha maombi ya Kazi kwa nafasi zifuatazo:
🔹 Director of Fiber Infrastructure & Network Strategy
🔹 Senior Fiber Planning & Transmission Engineer
🔹 Regional Fiber Operations Officer
📩 Jinsi ya Kutuma Maombi...
Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?
Udalali ni nini
Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
Mwanaume mmoja aitwaye Gal Gony Gatluak, mhitimu wa Shahada ya Uhasibu na Fedha, huko Sudan Kusini, amejikuta akiingia kwenye biashara ya uuzaji wa mkaa jijini Juba baada ya kutuma maombi ya kazi 47 bila mafanikio.
Gony, mwenye umri wa miaka 38, anasema licha ya kuwa na uzoefu wa kazi katika...
⭕️ *NOW*: *NAFASI ZA KAZI UNIQUE SAFARIS*
Bofya Hapa 👉🏿https://www.jobsreport.online/the-uniques-tanzania-where-safari-dreams-meet-authentic-luxury-available-opportunities/
💥Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
kupata update na msaada
👉https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k
FAHAMU: Siyo kila mvumbuzi alifurahia kazi ya mikono yake, baadhi ya wavumbuzi wakubwa duniani waliishia kuishi na huzuni kwa sababu ya jinsi uvumbuzi wao ulivyotumika kinyume na matarajio yao.
Hii hapa ni orodha ya waliowahi kujutia kazi zao:
1. Oppenheimer – Baba wa bomu la atomiki. Baadaye...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Royal Soap and Detergent kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizotangazwa siku ya leo tarehe 22/04/2025.
Kampuni tanzu ya MeTL Group inayoitwa Royal Soap and Detergent Industries Ltd ilianza rasmi kufanya kazi za...
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi GSM Group Tanzania kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa.
Tuma maombi hapa.
Bonyeza hapa
Hili hapa tangazo la Nafasi za kazi Brac Maendeleo Tanzania kwa Watanzania wote wenye sifa wanahitajika kutuma maombi na kujaza ajira mpya hizi, Hivyo wahi sasa na utume maombi mapema.
Tuma maombi hapa.
https://drive.google.com/file/d/1HNgWvnUcB9QNp4GfiVJ5TSRvWb2uAi9e/view?usp=sharing...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuendesha uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na madiwani kwa Tanzania Bara, mwaka 2025. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo kwa Tanzania Zanzibar. Kazi...
Surveyor (Agriculture) – 1 Position at Kilombero
Bonyeza hapa
Job vacancy at Kilombero; Category Buyer – 1 Position
Bonyeza hapa
Social Media Manager (Swahili Speaking) at Sporty Group
Bonyeza hapa
Kutembelea Kasomi Blog bonyeza hapa
Mfahamu @Mohamed Said mdau wa @JamiiTalk Ambaye ni JT Member
Mohamed Said Salum (alizaliwa tarehe 25 Februari, 1952, Gerezani, Dar es Salaam) ni mwandishi na mwanahistoria kutoka nchini Tanzania. Ametunga vitabu mbalimbali, lakini anafahamika zaidi kwa kitabu chake cha "Maisha na Nyakati za...
1448 Job Opportunities At Wizara Ya Ardhi. The ministry of lands was established as a department of Lands and later changed into a full ministry which changed its name according to the functions within that specific period. The current name is Ministry of Lands, Housing and Human Settlements...