kenya

  1. Kasomi

    Kutana na Dola Indidis wakili wa Kenya aliyeishtaki Israeli na Italia kwa kumuua Yesu Kristo

    Kutana na wakili wa Kenya aliyeishtaki Israeli na Italia kwa kumuua Yesu Kristo Mnamo 2013, wakili wa Kenya alitaka kupata haki kwa Yesu Kristo, akisema kuwa kesi na kusulubishwa kwa Yesu zaidi ya miaka 2,000 iliyopita ilikuwa kinyume cha sheria. Dola Indidis, msemaji wa zamani wa mahakama ya...
  2. Kasomi

    Benki ya Dunia: Kenya yashika nafasi ya 10 kati ya nchi maskini duniani

    KENYA: Benki ya Dunia imeitaja Kenya kuwa ya kumi kati ya nchi maskini zaidi duniani ambapo taarifa hiyo imetolewa wakati taifa hilo likijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku hali ya kisiasa ikielezwa kuwa na mvutano unaozidi kuongezeka katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi huo...
  3. F

    YellowBet Now Available in Kenya: Join Yellowbet.ke

    YellowBet has officially arrived in Kenya, offering an exciting new platform for sports fans and betting enthusiasts! Whether you're a seasoned bettor or new to the game, YellowBet promises a seamless and thrilling experience with a user-friendly interface and reliable features. Now, Kenyan...
  4. Kasomi

    TANZIA Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi. Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga alikuwa Nchini...
  5. Kasomi

    Mbu wa Kenya wabadili Mbinu

    Wakenya wako katika hatari kubwa ya maambukizi ya malaria kutokana na mbu aina ya Anopheles funestus kubadilika kitabia na kijenetiki. Utafiti mpya umeonyesha kuwa mbu hawa sasa wanakwepa vyandarua kwa kuuma mchana wakiwa nje na pia wameanza kustahimili viua-viwadudu. Wanasayansi kutoka...
  6. F

    Betlion Kenya Registration (sign up and login )

    BetLion Kenya: How to Create an Account, Claim Bonuses & Play Aviator 🎯 What is BetLion Kenya? BetLion Kenya is a licensed online sportsbook and casino (since 2018) offering a wide variety of sports markets, over 500 casino titles (including Aviator by Spribe), fast mobile deposits via M-Pesa...
  7. Kasomi

    Kenya na Tanzania zaongoza katika usambazaji wa dawa za kulevya: Ripoti

    Ripoti ya kila mwaka tume ya kupambana na dawa za kulevya katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika, inataja Kenya na Tanzania kuongoza katika usambazaji wa dawa hiyo kwenye ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki. Kenya, Tanzania, Musumbiji na Afrika Kusini, yameorodheshwa kuwa kitovu cha...
  8. Kasomi

    Kiongozi wa chama cha People's Liberation – PLP nchini Kenya Martha Karua anasema amekataliwa kuingia Tanzania

    Kiongozi wa chama cha People’s Liberation – PLP nchini Kenya Martha Karua anasema amekataliwa kuingia Tanzania. Karua amesema kwenye mtandao wa X kuwa yeye, pamoja na wanaharakati wawili wa haki za binaadamu Gloria Kimani na Lynn Ngugi walizuiliwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  9. Kasomi

    Historia ya mwai kibaki: rais aliyebadili uchumi wa kenya kwa kiwango kikubwa

    Mwai Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Kenya ambaye aliiletea nchi hiyo mabadiliko makubwa ya maendeleo na udhabiti wa kitaifa. Aliingia siasa mapema wakati Kenya ilipojipatia uhuru wake na alifanya kazi katika nyadhfa mbalimbali serikalini . Baada ya kuhudumu kama makamu wa rais alijipatia...
  10. Kasomi

    TANZIA Rais wa zamani wa kenya emilio mwai kibaki afariki dunia

    Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza muda mfupi uliopita kupitia runinga mbalimbali nchini Kenya. Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kutoka mwaka 2002 hadi 2013. Rais Uhuru Kenyatta amesema kiongozi huyo wa zamani...
Back
Top