Advertise here

kidato cha nne

  1. Kasomi

    NECTA: Pointi za Madaraja Kidato cha Nne

    POINTI ZA MADARAJA KIDATO CHA NNE Fahamu Pointi za Madaraja zinazotumika Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) kama inavyofafanuliwa katika jedwali hapo chini. Daraja la Kwanza 7-17 Daraja la Pili 18-21 Daraja la Tatu 22-25 Daraja la Nne linatolewa...
  2. Kasomi

    NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026

    NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 Bonyeza hapa kuona matokeo
  3. Kasomi

    Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025

  4. Kasomi

    Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye, Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu. Akizungumza na...
Back
Top