Advertise here

kifo

  1. Kasomi

    Masultani 11 Waliofuata Baada ya Kifo cha Sultan Sayyid Said bin Sultan bin Ahmed mwaka 1856

    Picha za Kihistoria za Zanzibar: Tuwajue Masultani 11 Waliofuata Baada ya Kifo cha Sultan Sayyid Said bin Sultan bin Ahmed mwaka 1856 Baada ya kufariki kwa Sultan Sayyid Said mwaka 1856, Zanzibar ilitawaliwa na masultani 11 waliokuja kwa nyakati tofauti kati ya karne ya 19 na mapinduzi ya mwaka...
  2. Kasomi

    Polisi Mbeya yathibitisha kifo cha Shairose Mabula, Mwanafunzi wa Mzumbe-Mbeya

    Baada ya kusambaa taarifa za kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, Kitivo cha Sheria, Shairose Mabula (21), ambaye aliripotiwa kutoweka na baadaye mwili wake kupatikana jijini Mbeya, Jeshi la Polisi mkoani humo limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo la mauaji...
  3. Kasomi

    Chanzo cha ajali ya Diego Jota chabainika

    Polisi nchini Uhispania wamesema sababu ya ajali iliyopelekea kifo cha nyota wa Liverpool, Diogo Jota na ndugu yake Andre Silva ni mwendo kupita kiasi wakiwa na gari lao aina ya lamborghini lililolipuka kaskazini-magharibi mwa mkoa wa Zamora, Alhamis ya Julai 3 2025. Ripoti ya askari wa...
  4. Kasomi

    Sijahukumiwa kifo lakini nimewekwa eneo la waliohukumiwa kifo - Tundu Lissu

    Chanzo Cha picha: DW Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Tundu Lissu ameileza mahakama kuwa yeye hajahukumiwa hukumu ya kifo lakini pamoja na kuwekwa eneo hilo kinyume cha sheria lakini bado pia haki zake za msiungi zinapuuzwa ikiwemo ya kuabudu pamoja na kufanya...
  5. Kasomi

    Kumbukizi ya kifo cha Steven Kanumba

    Imepita miaka 10 sasa tangu alipofariki staa huyo wa filamu Steven Kanumba mwaka 2012, na alizikwa katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam. Steven Kanumba alifariki tarehe 7 April 2012. Zaidi soma historia yake http://jamiitalk.test/threads/historia-ya-steven-kanumba.86/
Back
Top