Korea Kaskazini imekubali kurusha mechi za Ligi Kuu ya England lakini kwa masharti maalum:
Matangazo Yatacheleweshwa kurushwa.
Mechi hazitaonyeshwa moja kwa moja (live); badala yake, zitacheleweshwa kwa miezi kadhaa na kufupishwa hadi dakika 60 badala ya dk 90
Kuondolewa kwa Wachezaji wa Korea...