kisiwa

  1. Kasomi

    Maoni ya wadau na uchambuzi juu ya kisiwa cha maajabu cha buchosa

    Haya ni baadhi ya Maoni ya wadau kuhusu kisiwa hicho; "Hakuna cha ajabu hapa wala hiki si kisiwa halisi ni imani tu za watu. Hii ni sehemu ya ardhi inayojitengeneza kwenye ghuba ya ziwa kwa kukusanya uchafu kwa muda mrefu ikijumuisha udongo, tope, nyavu za wavuvi n.k kisha mimea kama nyasi na...
  2. Kasomi

    Tetesi: Kisiwa cha maajabu chapatikana kahunda buchosa wilayani sengerema

    Wakazi wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza na maeneo ya jirani wamekumbwa na mshangao mara baada ya kuibuka kwa kipande cha ardhi katika Ziwa Victoria kinachokadiriwa kuwa na ukubwa wa zaidi ya Ekari 12 kikiwa hakijulikani asili yake huku mamia ya watu kutoka maeneo mbalimbali wakijitokeza...
Back
Top