kitabu

  1. J

    Waandishi wa kitabu cha zaburi

    Waandishi wa kitabu cha zaburi Zaburi ni nini katika Biblia Zaburi maana yake ni nyimbo takatifu. Hivyo kitabu cha Zaburi katika biblia, ni kitabu cha nyimbo takatifu. Zimeitwa nyimbo takatifu kwa sababu zimetungwa kwa lengo la kumrudisha mtu kwa muumba wake, kwa njia hiyo ya kusifu na...
  2. J

    Kuna kitabu cha Agano Jipya, je kuna ulazima wa kutumia Agano la Kale?

    Kuna kitabu cha Agano Jipya, je kuna ulazima wa kutumia Agano la Kale? Japokuwa Biblia ni kitabu kimoja, kuna tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya. Aidha, kuna baadhi ya waumini wanasema kuwa, kwa vile kuna Agano Jipya, hakuna haja ya kutumia yaliyomo kwenye Agano la Kale. Ukweli ni...
  3. Kasomi

    Sheria ya kwanza kwenye kitabu cha 48 Laws of Power cha Robert Greene kinasema Never Outshine the Master yaani Kamwe Usiwahi kumfunika bosi wako

    Sheria ya 1 ya kutoka kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" kilichoandikwa na Robert Greene inasema "Never Outshine the Master" yaani kamwe ( Usiwahi kumfunika bosi wako) Kamwe usijaribu kuonekana una akili, uwezo, au mafanikio zaidi ya mtu aliye juu yako, iwe ni bosi wako kazini, kiongozi, au...
  4. Kasomi

    Kifahamu Kitabu cha "Everything Men knew About Woman" cha Dr. Alan Francis chenye kurasa 128 kilichokuwa hakijaandikwa chochote ndani

    UBUNIFU NI MOJA KATIKA MAMBO MUHIMU Mwaka 1989 Alan Francis aliandika kitabu chake kilikuwa na kurasa 128. Kitabu hiki kilikuwa na kichwa cha habari kinachosema EVERY THING MEN KNOW ABOUT WOMEN. Kwa maana kuwa kila kitu ambacho wanaume wanaokunywa kuhusu wanawake. Kitabu hiki kilieleza kuwa...
Back
Top