Kasomi
JT Founder
UBUNIFU NI MOJA KATIKA MAMBO MUHIMU
Mwaka 1989 Alan Francis aliandika kitabu chake kilikuwa na kurasa 128. Kitabu hiki kilikuwa na kichwa cha habari kinachosema EVERY THING MEN KNOW ABOUT WOMEN. Kwa maana kuwa kila kitu ambacho wanaume wanaokunywa kuhusu wanawake.
Kitabu hiki kilieleza kuwa kinakwenda kuelezea kila kotubkuhusu wanawake, ikiwemo jinsi ya kuwaridhisha kitandani, jinsi ya kumvutia, jinsi ya kumuweka karibu na mengineyo.
Kitabubkinaeleza kuwa mwandishi amefanya tafiti kwa muda mwingi hivyo ameamua kuvujisha siri hizo .
Kitabu hiko kinauzwa kwa dola 6 Amazon. Kitu cha ajabu juu ya kitabu hiki kurasa zake zote zilikuwa tupu. Yaani hakukuwa na maandishi. Kwa maana kuwa eidha mwandishi anaamini kuwa wanaume hawajui chochote kuhusu wanawake ama ni kitabu kilichoandaliwa kwa ajili ya kufurahisha tu ama kuchekesha.
Lakini ukiachilia mbali kuwa kitabu hiki kitupu lakini kimekuwa kikinunuliwa sana kama zawadi kwa wapendanao ama kwa ajili ya siku ya kuzaliwa ama vinginevyo. Inasema kuwa watu wanaridhika kabisa kununua kurasa tupu.
Kwa nini nimeandika historia hii :
Ukoangalia hapo ni ubunifu ndio uliofanya kitabu kuendelea kuwa na soko. Ukiachilia mbali kuwa kitabu hakituongezei taaluma ama ujuzi wowote lakini kinatupa furaha. Kwa ubunifu wa mwandishi watu wapo radhi kununua kitabubkitupu kabisa.