kugombea

  1. Kasomi

    INEC yamwondoa Mpina kugombea Urais

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemwondoa Luhaga Joelson Mpina, mgombea wa kiti cha Rais kupitia Chama cha ACT–Wazalendo kwenye orodha ya wagombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kufuatia pingamizi liliowasilishwa na Hamza Saidi...
  2. Kasomi

    Mpina apigwa stop kugombea Urais ACT

    UCHAGUZI2025 Luhaga Mpina ametenguliwa kugombea nafasi ya Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo kwa maamuzi yaliyotolewa na Msajili wa Vyama vya siasa na kusema uteuzi wake ni batili Monalisa ambaye aliwasilisha malalamiko kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yenye lengo ya kuonesha...
  3. Kasomi

    Luhaga Mpina aenguliwa kugombea Ubunge Jimbo la kisesa

    🟢 Safari ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ndani ya Bunge kupitia CCM huenda ikafikia ukingoni mwaka huu Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametupwa nje ya mbio za kuwania tena ubunge kupitia CCM mwaka huu! 🛑 Taarifa kutoka vikao vya chama ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wa Simiyu...
Back
Top