kutumia

  1. Kasomi

    WhatsApp kuanza kutumia usernames utaweza wasiliana na watu bila kuwapa namba yako

    Baada ya miaka mingi ya kusubiri na miezi kadhaa ya maandalizi, mtandao wa WhatsApp umeanza rasmi kuruhusu watumiaji wake kote ulimwenguni kutumia majina yao ya kipekee ya watumiaji @username kama ilivyo kwa Instagram, X na mitandao mingine. Kwa muda mrefu, namba ya simu ndiyo imekuwa njia...
  2. Kasomi

    Mwimbaji maarufu Dua Lipa aifungulia kesi kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 kwa kutumia sura yake bila makubaliano

    Mwimbaji maarufu Dua Lipa ameripotiwa kuifungulia kesi kampuni ya teknolojia ya Samsung akidai fidia ya angalau dola milioni 15 kwa madai ya kutumia sura na taswira yake kutangaza televisheni bila idhini yake rasmi. Kwa mujibu wa nyaraka za kesi zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya burudani...
  3. Kasomi

    Hizi hapa ni hatua za uhakika za kuzuia PC kutumia Data nyingi

    Hatua ya mwanzo kama umeweka windows mpya au OS nyingine hakikisha una updates kwanza PC kwenye mtandao imara kama sehemu za WiFi ya umma au ya office ambapo utatumia data nyingi. Kama tatizo linaendelea fuata hatua hizo 1- Zima Windows Updates. Nenda Settings > Update & Security > Windows...
  4. Kasomi

    Je, Unafahamu Kuwa Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti

    ULIWAHI KULIJUA HILI? Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti Kutoka Mwaka 1966 Mpaka Kufikia Mwaka 1994 Ambapo Noti Ya Shilingi 100 Ilibadilishwa Na Kuwa Sarafu!!
  5. J

    Kuna kitabu cha Agano Jipya, je kuna ulazima wa kutumia Agano la Kale?

    Kuna kitabu cha Agano Jipya, je kuna ulazima wa kutumia Agano la Kale? Japokuwa Biblia ni kitabu kimoja, kuna tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya. Aidha, kuna baadhi ya waumini wanasema kuwa, kwa vile kuna Agano Jipya, hakuna haja ya kutumia yaliyomo kwenye Agano la Kale. Ukweli ni...
  6. Kasomi

    Meta imesema kuanzia mwakani, kampuni zote za AI zitashindwa kutumia WhatsApp

    Meta imesema kuanzia mwakani, kampuni zote za AI zitashindwa kutumia WhatsApp. Kwa akili bandia kama vile ChatGPT na Perplexity zinaweza kutoa huduma zake ndani ya app ya WhatsApp na watumiaji wa WhatsApp wanaweza kuchat na ChatGPT ndani ya WhatsApp bila kulazimika kutumia app ya ChatGPT...
  7. Kasomi

    Jinsi ya kutengeneza Picha ya Photoshoot kwa kutumia Gemini AI

    Ili kutengeneza Picha kama ya photos kwa kutumia AI na ionekane kama hapa chini Upload picha Mbili (uki upload zenye ubora na picha zitakuwa nzuri zaidi) Baada ya kuupload copy Prompt hapa chini kisha paste kwenye AI yako ulipo upload picha zako. Using the uploaded photo, create a...
  8. F

    Kujisajili 1WIN kwa kutumia Promo Code l 1win Registration

    1win nikampuni yakubashiri ya kimataifa (international betting company) inayofanya kazi katika nchi mbalimbalimbali Duniani hapa tutahadili kuhusu 1win , jinsiya kufungua account , 1win promo code, na jinsi ya kuweka na kutoa pesa 1win. 1win promo code is [ OFFER1WIN] or [ A7771] choose one...
  9. Kasomi

    Jinsi ya Kufanya Bootable Flash Disk kwa Kutumia PowerISO (Kuinstall Windows)

    Jinsi ya Kufanya Bootable Flash Disk kwa Kutumia PowerISO (Kuinstall Windows) Hakikisha una: ✅ Flash disk (angalau 8GB ili kutoshea Windows ISO). ✅ Faili ya Windows ISO (Windows 10/11 au zingine). ✅ Programu ya PowerISO (inaweza kupakuliwa kwenye tovuti yao rasmi). Hatua kwa Hatua...
  10. Kasomi

    Jinsi ya kutengeneza Bootable (Pendrive) Flash kwa kutumia CMD Command

    JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE USB PENDRIVE (FLASH) KWA KUTUMIA COMMAND Technology inakuwa kwa kasi sana siku hadi siku. zamani tulizoea kutumia CD kwa ajili ya kuinstall window kwenye computer zetu ila ubaya ilikuwa CD zilihitaji uangalifu mzuri ili iweze kudumu kwa muda mrefu tulijikuta...
  11. Kasomi

    Jinsi ya kutengeneza picha ya Cartoon (Ghibli Image) kwa kutumia AI

    Kutengeneza Mitindo ya picha ya katuni fuata hatua hii 1. Pakua app ya chatGPT au unaweza tumia kwenye kivinjari kwa kutembelea www.chatgpt.com 2. Bofya sehemu ya Ku upload Picha kisha Chagua picha unayotaka kubadili kuwa katuni 3. chagua picha na uandike "tengeneza picha ya mtindo wa Ghibli...
  12. Kasomi

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa kwa Kutumia YouTube (Content Creation)

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa kwa Kutumia YouTube (Content Creation) Leo tutajadili jinsi ya kutengeneza pesa kwa kutumia YouTube kama content creator. 1. Kuanzisha Channel Yako ya YouTube Kabla ya yote, unahitaji kuwa na akaunti ya Google kisha ufungue channel yako ya YouTube. Hakikisha unachagua...
  13. Kasomi

    Jamii Talk: Zingatia haya unapojiunga JamiiTalk

    Ni nani anayeweza kutumia JamiiTalk Watu wanapotetea maoni na vitendo vyao, jumuiya yetu inakuwa salama na inawajibika zaidi. Kwa sababu hii, ni lazima: 1- Utumie jina (lile ambalo unalolitumia katika maisha ya kila siku au Jina lisilojulikana yaani anonymous name). 2- Ni lazima kuweka barua...
Back
Top