Kasomi JT Founder Jan 11, 2026 #1 ULIWAHI KULIJUA HILI? Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti Kutoka Mwaka 1966 Mpaka Kufikia Mwaka 1994 Ambapo Noti Ya Shilingi 100 Ilibadilishwa Na Kuwa Sarafu!!
ULIWAHI KULIJUA HILI? Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti Kutoka Mwaka 1966 Mpaka Kufikia Mwaka 1994 Ambapo Noti Ya Shilingi 100 Ilibadilishwa Na Kuwa Sarafu!!